Kizungu zungu cha mapenzi

Kizungu zungu cha mapenzi

Nyie watoto mkienda shule mkasome acheni mapenzi. Kwanza nashangaa umefaulu vipi wakati hata kiswahili hujui, badala ya kusema faulu unasema fauru shiittt!. Kitu kingine nikuulize kwani kufaulu ndio kupata hela? Huyo mwanamke nae ni mtoto sanaa. Wanawake wanapenda mwanaume mwenye hela tuu na sio aliyefaulu.na usijidanganye eti ukifaulu kwenye mitiani ndio umefaulu kwenye maisha. Kufaulu ni kitu kimoja na kupata hela ni kitu kingine, nenda shule ukasome kwanza mapenzi yaache kwanza.
ushauri mzuri sanaa
 
Afadhali yako umejisema kabisa na elimu yako. Nenda kaanze maisha mapya chuon.
 
youngtozy enhee okey sasa swali jepes ushafanya applocation tcu na bodi ya mkopo?..... embu nenda bas ukasome utakutana na zaid ya hao...
 
Sasa sisi tutajuaje kama anakupenda kweli au la.Usitujaribu (in Magufulis voice)
 
umefauru ila yeye hakufauru
baada ya kusikia umefauru


nmeishia la7
lakini najitahidi kuandika kuliko wewe...
endeleeni kuyajenga/ukitaka kula bata wacha kumchunguza
 
Msamehe tu " chezea shetani wewe & Ila siku huyo shetani akijitokeza nahisi watu watamgawana Kama sio kumshitakia kwa mungu kabisa.... Hahahah
Haaaa haaa kweli mkuu nimechekaaa tnx kwa kunipunguzia stress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom