Mtu anayekupenda hatatamani kamwe akuumize jaribu kusonga mbele kilio chake ni njia kukupumbaza maana anajua mwanaume ni mkarimu kwa mwanamke
ahsanteHahahaa!! Ila aangalie acje maliziwa boom kishaUkija chuo utapata demu mwingine uyo kwa sasa achana nae
atemwe tena!Haya bhana wish you all the best in your further studies at university..but am not bro am sisterAll thanks to God bro! Haya mambo bana ukiyakurupukia utaishia kulala kwenye mikeka na huku hao wa kwenye tamthilia unaowaiga wanakula bata tu yani!
Haya bhana wish you all the best in your further studies..but am not bro am sister
! Sorry.Okay usijali![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
! Sorry.
Kwel ndg ila kwa jins anavyolalamika had nashindwa kuelewa kaka kwan analia na yy amewambia had marafik zangu wanishaur ile hal mwanzon hawakujuaIla bana kaka uliekutwa na mkasa kama wangu... fikiria mwenyewe. Hapo me sioni kama kuna haja ya sisi kukwambia kama huo upendo wake ni wa.kweli au la. Kila kitu kiko wazi....!
Anakupima tu huyo.. ukidissolve tu inakula kwako!Nice bro huyu king'ang'aniz kinoma
Huyo aliekuwa naye wakati anakutema ww yuko wapi sa hvi!!? Tatizo siyo kulalamika...!! Tatizo ni kwamba: wewe utamwamini tena kama ulivokua ukimwamini mwanzo?? Bila shaka jibu ni HAPANA, na kama ni hivo basi utajikuta unaingia katika uhusiano wenye mashaka, kutojiamini na hofu, jambo ambalo siyo jema kwa mtu unaetafta maisha kama.kijana! THINK!Kwel ndg ila kwa jins anavyolalamika had nashindwa kuelewa kaka kwan analia na yy amewambia had marafik zangu wanishaur ile hal mwanzon hawakujua
Okay usijali

Nyie watoto mkienda shule mkasome acheni mapenzi. Kwanza nashangaa umefaulu vipi wakati hata kiswahili hujui, badala ya kusema faulu unasema fauru shiittt!. Kitu kingine nikuulize kwani kufaulu ndio kupata hela? Huyo mwanamke nae ni mtoto sanaa. Wanawake wanapenda mwanaume mwenye hela tuu na sio aliyefaulu.na usijidanganye eti ukifaulu kwenye mitiani ndio umefaulu kwenye maisha. Kufaulu ni kitu kimoja na kupata hela ni kitu kingine, nenda shule ukasome kwanza mapenzi yaache kwanza.Jaman tusaidianen nilikuwa na girlfriend nikiwa shuleni kipind nipo kidato cha sita ila tulikosana baada ya kugundua anacheat na hii niliigundua baada ya kumtafta kwa namba ngeni ndipo alipochat na mim akijua ni mtu wake kumbe alikuwa mimi hapo niliumia sana ikabidi nimfowardie zile mesege zake kwa kutumia namba yangu anayoijua yy baada ya hapo alinipgia yy na kunitukana kisha akasema iwe mwsho kumtafta kwan yy alikuwa anamtu wake na mimi hakunipenda ila alinitaman kutokana life style yangu miliokuwa nikiishi nayo shuleni...kiukwel iliniuma sana kwan nilimpenda na sikutegemea kama ingekuja kutokea yy akanitamkia hivyo kwan kipind nipo nae alikuwa akinipatia had hela ya kutumia shulen kutokana kwamba kipato cha kwao kilikuwa kizur ukilinganisha na mimi kwa mda yanatokea yote wote tulikuwa tupo likizo na baada ya kufungua shule sikuweza hata kuongea nae kutokana na yote yaliyotokea kipnd tupo likizon hapo baadh ya marafik zangu waliniuliza kutaka kujua kipi kinaendelea na Mpenz wangu ila skutaka kuwajibu ukwel niliwaambia tumeamua kupotezeana kwanza had tumalize mtihani wa taifa..ni kweli niliumia sana kias kwamba nilitumia maumivu hayo kusoma kwa bidii nikiamin kashfa alizonipa mpenz wangu kuhusu maisha yangu ningeweza kuzmaliza kwa kufauru mtihan tu na kufanikisha ndoto zangu...ni kwel mungu si asuman nimefauru mtihan wangu vizur ila sasa cha kushangaza kwa mda wote huo alikuwa hanitafti wala kunisemesha ila baada ya matokeo kutoka yy hajafauru vzur kama nilivyofauru mimi kias kwamba hawez kuendelea na elim ya chuo kikuu hapo inashangaza ameanzakunipgia simu akilia na akisema kwamba yy ananipenda na alipitiwa na shetani tu na yupo tayar kufanya lolote ili arudiane namimi nimejarbu kumkatia sm akipga ila analalamika kwa sms had napokea sim yake na nikipokea anaanza kulia na kuomba msamaha ili turudiane na hitaji lake kubwa anasema anapenda kuzaa na mimi...!HEBU TUSAIDIANEN NDG JE HUYO MTU ANAUPENDO KWEL? AU KUNA REASON BEHIND! PLZ USPITE BILA KUACHA USHAURI NDG NA USITUKANE![]()
![]()
![]()
![]()