incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,530
- 4,273
Jaman tusaidianen nilikuwa na girlfriend nikiwa shuleni kipind nipo kidato cha sita ila tulikosana baada ya kugundua anacheat na hii niliigundua baada ya kumtafta kwa namba ngeni ndipo alipochat na mim akijua ni mtu wake kumbe alikuwa mimi hapo niliumia sana ikabidi nimfowardie zile mesege zake kwa kutumia namba yangu anayoijua yy baada ya hapo alinipgia yy na kunitukana kisha akasema iwe mwsho kumtafta kwan yy alikuwa anamtu wake na mimi hakunipenda ila alinitaman kutokana life style yangu miliokuwa nikiishi nayo shuleni...kiukwel iliniuma sana kwan nilimpenda na sikutegemea kama ingekuja kutokea yy akanitamkia hivyo kwan kipind nipo nae alikuwa akinipatia had hela ya kutumia shulen kutokana kwamba kipato cha kwao kilikuwa kizur ukilinganisha na mimi kwa mda yanatokea yote wote tulikuwa tupo likizo na baada ya kufungua shule sikuweza hata kuongea nae kutokana na yote yaliyotokea kipnd tupo likizon hapo baadh ya marafik zangu waliniuliza kutaka kujua kipi kinaendelea na Mpenz wangu ila skutaka kuwajibu ukwel niliwaambia tumeamua kupotezeana kwanza had tumalize mtihani wa taifa..ni kweli niliumia sana kias kwamba nilitumia maumivu hayo kusoma kwa bidii nikiamin kashfa alizonipa mpenz wangu kuhusu maisha yangu ningeweza kuzmaliza kwa kufauru mtihan tu na kufanikisha ndoto zangu...ni kwel mungu si asuman nimefauru mtihan wangu vizur ila sasa cha kushangaza kwa mda wote huo alikuwa hanitafti wala kunisemesha ila baada ya matokeo kutoka yy hajafauru vzur kama nilivyofauru mimi kias kwamba hawez kuendelea na elim ya chuo kikuu hapo inashangaza ameanzakunipgia simu akilia na akisema kwamba yy ananipenda na alipitiwa na shetani tu na yupo tayar kufanya lolote ili arudiane namimi nimejarbu kumkatia sm akipga ila analalamika kwa sms had napokea sim yake na nikipokea anaanza kulia na kuomba msamaha ili turudiane na hitaji lake kubwa anasema anapenda kuzaa na mimi...!HEBU TUSAIDIANEN NDG JE HUYO MTU ANAUPENDO KWEL? AU KUNA REASON BEHIND! PLZ USPITE BILA KUACHA USHAURI NDG NA USITUKANE


ndio utajua kama kweli anakupenda au anataka kukuganda