Usalama upo sana, kumepooza leo, ndio maana najifurahishaLakini salama
Sitoenda popote, nitatuliaPole, kwani hujaenda valentine?
Sawa sawa, usijali nilipokutaja mkuu utafiti/ngabu, sio kwa nia mbaya, ilikuwa kama kuchangamsha barazaBasi tuko pamoja...ata jua naliona kupitia dirishani
Si unaona mambo yananoga, nilikuwa nimepooza sina wa kuongea naePeace kabisa mkuu
Imekuaje mwanangu?
Mwanangu nitaachaje kukupenda? Tena nakupenda sana....
Naona tofauti, ila sio mbaya tunasogeza mudaUsijali....watu wametoka, mitaa yote ya jf iko empty watu wameenda valentine