Enzi za makuzi yetu ilikua hata ukivaa nguo yenye kiraka unajichukia lakini siku hizi wananunua zilizochanwa makusudi ati wanaenda na wakati. Hivi wanaenda na wakati au wakati ndio unaenda nao?!?

Ha ha ha Mshana Jr.. nakumbuka hii fashen ilipoingia ya kuchana nguo mdogo wangu alimwagia maji ya betri jeanz yake kwenye magoti.. Bado anakumbuka mkong'oto alioupata toka kwa dingi.. nadhan ilikuwa mwishon mwa miaka ya 80 au mwanzon wa 90..