Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,382
- 3,705
Hoja yangu ni kwamba hao wanaokengeuka dalili zinaonekana mapema wakiwa chini ya uangalizi wa wazazi. Wazazi wanachukua hatua gani zaidi ya kulalamika tu?Umeamua kubisha tu. Nimekwambia same family wanatoka watoto wamenyooka na mwingine kapinda kabisa. Kwa maelezo yako huyu mwingine kapewa malezi tofauti na wenzie?