huyu wa kiume alikuwa si mwanafunzi wa shule husika ingawa baadae aliswekwa ndani ingawa wazazi na binti yao waligoma kufungua kesi ikabidi walimu ndio watoe maelezo polisimbona kaongelewa zaidi binti,kwa nini tusielezwe zaidi kuhusu huyo kijana aliyemrubun mtoto wa shule.maana inaonekana kama binti tu ndie kafanya maajabu lkn huyo 'mwanaume' kaandikwa kijuujuu tu kama vile alivyofanya ni normal tu.kizazi cha tigo.com haya wee yesu yu karibu kuja nyie shangaeni tu muache kutubu dhambi.
mbona kaongelewa zaidi binti,kwa nini tusielezwe zaidi kuhusu huyo kijana aliyemrubun mtoto wa shule.maana inaonekana kama binti tu ndie kafanya maajabu lkn huyo 'mwanaume' kaandikwa kijuujuu tu kama vile alivyofanya ni normal tu.kizazi cha tigo.com haya wee yesu yu karibu kuja nyie shangaeni tu muache kutubu dhambi.