Kizazi cha .com

Hivi vitoto naona vikiwa wakubwa naona watakuja kuvumbua mambo makubwa ya mitandao tena ya hatari na kupita ya sasa
 
Miaka miwili watakua wanavaa miwani.
 
Hyo sufuria waliokalia wanakuja kupikiwa uji wao humohumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…