Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Ni kweli, lakini udhibiti wa serikali kwenye hili ni wa hovyo kabisa.Wakulaumiwa ni huyo mwenye eneo
Kwanini kamruhusu huyo mtoto kucheza kamari
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hili suala la mabonanza kukaa kipuuzi puuzi mitaani ni la kuangaliwa sanaili mradi kodi inaingia serikalini hayo mengine watajua wenyewe.
Hahaaili mradi kodi inaingia serikalini hayo mengine watajua wenyewe.