Kizalia cha tatu usichokijua

Kizalia cha tatu usichokijua

Kuna mtu mmoja baba yake alimuangaikia sana kumsomesha. Baada ya kufanikiwa kupata elimu yake kama clinical officer akajiona kafika na kuanza dharau kwa baba yake. Siku moja katika moja ya ugomvi wao kijana akamwambia baba yake "nitoe kabisa katika hesabu ya wanao. Hata nikifa usinizike". Maneno yale yalimuumiza sana mzee. Baada ya kutafakari kwa dakika chache yule mzee akamjibu mwanae akisema "nimekusikia mwanangu. Kama kweli wewe ni mwanangu basi nina hakika ya kutokukuzika". Baada ya hapo maisha yakaendelea kama kawaida. Lakini katika ile ajali ya MV Bukoba mwezi May, 1996 yule bwana alikuwa ni mmoja wa wale abiria waliozama na miili yao kutopatikana kabisa hivyo kutozikwa na familia yake. Wale waliokuwa wanafahamu maneno waliyojibizana na mzazi wake kuhusu kutozikana walikiri kwamba kweli wazazi ni Mungu wa pili duniani na wanapaswa kuheshimiwa kwa kuzingatia hekima na haki. Mtoto alisema akifa babake asimzike na baba nae akaahidi kutomzika. Na hakika mzazi "hakumzika mwanae".
 
Kuna mtu mmoja baba yake alimuangaikia sana kumsomesha. Baada ya kufanikiwa kupata elimu yake kama clinical officer akajiona kafika na kuanza dharau kwa baba yake. Siku moja katika moja ya ugomvi wao kijana akamwambia baba yake "nitoe kabisa katika hesabu za wanao. Hata nikifa usinizike". Maneno yale yalimuumiza sana mzee. Baada ya kutafakari kwa dakika chache yule mzee akamjibu mwanae akisema "nimekusikia mwanangu. Kama kweli wewe ni mwanangu basi nina hakika ya kutokukuzika". Baada ya hapo maisha yakaendelea kama kawaida. Lakini katika ile ajali ya MV Bukoba mwezi May, 1996 yule bwana alikuwa ni mmoja wa abiria aliyekuwa katika meli hiyo. Yeye ni mmoja wale abiria waliozama na miili yao kutopatikana kabisa hivyo kutozikwa na familia yake. Wale waliokuwa wanafahamu maneno waliyojibizana na mzazi wake kuhusu kutozikana walikiri kwamba kweli wazazi ni mungu wa pili duniani na wanapaswa kuheshimiwa kwa kuzingatia hekima na haki. Mtoto alisema akifa babake asimzike na baba nae akaahidi kutomzika. Na hakika mzazi "hakumzika mwanae".
Yesu na Maria, uwiiiiie jaman eeeh jamaniiiie,euuuuwiii jaman eeeee
 
79be4817bfd677ee70923476bc0ab0ab.jpg
 
Kuna mtu mmoja baba yake alimuangaikia sana kumsomesha. Baada ya kufanikiwa kupata elimu yake kama clinical officer akajiona kafika na kuanza dharau kwa baba yake. Siku moja katika moja ya ugomvi wao kijana akamwambia baba yake "nitoe kabisa katika hesabu ya wanao. Hata nikifa usinizike". Maneno yale yalimuumiza sana mzee. Baada ya kutafakari kwa dakika chache yule mzee akamjibu mwanae akisema "nimekusikia mwanangu. Kama kweli wewe ni mwanangu basi nina hakika ya kutokukuzika". Baada ya hapo maisha yakaendelea kama kawaida. Lakini katika ile ajali ya MV Bukoba mwezi May, 1996 yule bwana alikuwa ni mmoja wa wale abiria waliozama na miili yao kutopatikana kabisa hivyo kutozikwa na familia yake. Wale waliokuwa wanafahamu maneno waliyojibizana na mzazi wake kuhusu kutozikana walikiri kwamba kweli wazazi ni Mungu wa pili duniani na wanapaswa kuheshimiwa kwa kuzingatia hekima na haki. Mtoto alisema akifa babake asimzike na baba nae akaahidi kutomzika. Na hakika mzazi "hakumzika mwanae".
 
Pamoja na ubusy na ugumu wa maisha, kuwajali na kuwaenzi wazazi hasa wakiwa hai ni muhimu. Kwanza hawanaga makuu. Mahitaji yao ni ya kawaida sana wengi hawashindwi wakijitoa kwa moyo.
 
Pamoja na ubusy na ugumu wa maisha, kuwajali na kuwaenzi wazazi hasa wakiwa hai ni muhimu. Kwanza hawanaga makuu. Mahitaji yao ni ya kawaida sana wengi hawashindwi wakijitoa kwa moyo.
I with they could still alive
 
Usiku huu na kesho pia ukiwa na bundle la kutosha kuingia JF nk huku ukiwa umeshiba wewe na familia yako....!Je umemkumbuka mzazi pale kijijini je kashiba kama ulivyoshiba wewe? Kumbuka yeye ni sehemu ya wewe na bila yeye wewe usingekuwepo hapa! Wewe unayejiita mimi...!
Ulalapo muda huu na utakapoamka kesho usisahau kusahau kuhusu hili
 
Mshana niambie juu ya effect inayowapata watoto wanazaliwa na baba wengine na kupewa baba wengine.
Inategemea na mapokeo ya baba kwa mtoto na mapatano ya kiroho bila ufahamu wao wawili..! Hesabu za kiroho zikiswihi wataenda sawa na kuwa pamoja... Ila zikigoma patachimbika kwa wote wawili ama mmoja kati yao
 
Uchawi wa Kiungu…Muunganisho kondo la nyuma la Mama na Mtoto.

Tumbo sio nafasi ambapo tunahifadhi kiwewe na Huzuni. Tumbo ni Lango Takatifu la Uchawi wa Kiungu.

Tumbo la uzazi ni Lango Takatifu la kulea na kuzaa uhai….lazima tung'oe mizizi ili kuchanua maua.

Uponyaji wa Tumbo la uzazi ni Lango la Mafumbo ya Kike…Uchawi wa Kike wa Kimungu…Alkemia ya Kike ya Kimungu. Sherehe ya Maisha. Sherehe ya Ujinsia wako. Kuzaliwa Mbinguni na Duniani.
FB_IMG_1656422980538.jpg
 
Back
Top Bottom