hahahaha, hii kali.muone kwanza na shuti yake ya KIPAIMARA...!
Kisha mkuu wangu Mwanakijiji alikuja waamini watu hawa!....Na yuko wapi..
Mimi toka mwanzo niliamini kabisa kwamba CCJ ni chama kilichoanzishwa kuivunja nguvu Chadema kabla ya kampeni. Kuondoa hoja kubwa ya Ufisadi ambayo ndio ilitawala magazeti yote nchini na kwa kufanya hivyo walifanikiwa sana.
Huyu Richard Kiyabo kamaliza kazi yake na anarudi kambini. Hakuwa ametoka CCM hata siku moja na wajinga wengi waliamini kuwa CCJ ni chama kipya chenye mwelekeo.
Lakini pamoja na yote haya mimi na mashaka sana na Uwezo wa kufikiri wa Watanzania. Ni jana tu asilimia kubwa walikuwa wakilaani CCM na kutoa matusi yote ya mapungufu ya JK, leo hii wameshasahau au kusamehe, hao hao ndio wanaunga mkono chama hicho tena kwa nguvu zote...Kesho kilio tena!
Sijui ndio asili ya athari za Utumwa au Miafrika ndivyo Tulivyo!
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Jamii (CCJ) - almanusura niandike CCM! - Richard Kiyabo, leo "amerejea" na kukabidhiwa kadi rasmi na Katibu Mkuu, Yusuf Makamba.
Habari zilizotangazwa sasa hivi na Taarifa ya Habari kwa Ufupi ya saa 10 jioni ya TBC1 zimetangaza.
Taarifa zitaendelea kuwafikia.
Mkuu wangu nakuhakikishia kwamba Shibuda baada ya Uchaguzi huu atakuwa mwiba wa siasa nchini. Jina lake litavuma ana atakuwa na mvuto usiokuwa na kifani, huu ni mwanzo wake mpya.Wanabodi naomba kuuliza...
Kuna Mtanzania asiyejua kwamba SHIBUDA atarudi CCM baada ya Uchaguzi?
Cheko lake tu limekaa kitaahira taahira - ananikumbusha mgonjwa mmoja taahira pale hospital ya MILEMBE!
ulimaanisha hivoKweli siasa ni ajira, hakuna cha sera wala nini? na wala sitashangaa nyepesi = zito? akijiunga huko. Maisha maslahi bwana!!