Kiwanja nyashishi mwanza nakiuza

Kiwanja nyashishi mwanza nakiuza

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,641
Reaction score
3,656
Biashara inaleta faida kuliko kiwanja, bora nikiuze niongeze mzunguko kwenye biashara yangu.

Bei ni 2.5 m

Urefu hatua 30 kwa 25

Maeneo yamepimwa, hati ya serikali ya mtaa,

Kinapatikana nyashishi, barabara ya vumbi inayoelekea kule inakojengwa bandari kavu.

2.5 cash

Piga simu namba 0757915043
 
Back
Top Bottom