Kiwanja na nyumba kinauzwa Kunduchi

Kiwanja na nyumba kinauzwa Kunduchi

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
345
Reaction score
307
Wakuu Habarini za majukumu!Jirani yangu anauza nyumba ndogo yenye vyumba 2+Sebure uwanja unao bakia ni mkubwa wakuweza kujenga hata nyumba ya vyumba 6 Nyumba ipo Kunduchi eneo la Meko machimbo mita chache mwendo wa dk 5 kwa mguu toka barabara kuu ya kutoka Mwenge -Tegeta-Bunju Bagamoyo

Bei ni mil 25

Kwa atakae hitaji anicheki kwenye 0765544791 ili nimuunganishe na mwenyewe pia unaweza kufika ili kuona mwenyewe kwani cm yangu haina uwezo wa kuapload picture

Asanteni
 
Back
Top Bottom