NB: UswahiliniUkubwa mkuu ni 28×8??hebu angalia vizuri hizo namba!na pia ungeweka picha ingekua vyema zaidi..
28mita upana ni 8mita.
Habari,
Kichwa cha habari kinajieleza.
Kiwanja kipo uswahilini mwisho wa Ice maji na umeme umefika kadhalika gari inaingia. Ukubwa 28x8 kina nyumba ya vyumba vi tano (5) viko kwenye lenta.Bei: 15ml. Mazungumzo yapo.