View attachment 73441View attachment 73442
kipo morogoro -mazimbu road mkabala na kota za lapf kama sio nssf.
Kina tofali elfu 10 na lori tano za mawe.
Bei ni 7,500,000 za kitanzania ukubwa ni mt 33 kwa 33 kwq 55 kwa 14 kwa 22 chora chini utaelewa kimekaa kama saba (7) au l. Shanielewa.
Sababu za kuuza- nimehamishwa kikazi morogoro
nilishasahau kama nilipost hapa. sikufanikiwa kukiuza bado kipo
ninakiuza mkuu na kwa sasa nimezungukwa na mjumba mara ya mwisho kwenda nilipasahau. umeme ushafika kwasasa tunasubiri morowasa walete maji ya bomba ila majirani wanatumia visima vifupi kupata majioh ni kitambo kweli mkuu vipi unakiuza bado au ulishaghairi