Kiwanja kizuri kinauzwa mbweni beach malindi

Kiwanja kizuri kinauzwa mbweni beach malindi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,556
Reaction score
127,865
ni kiwanja chenye ukubwa wa square meters 1400 ( miguu 28 kwa 50 ) kipo umbali wa mita 400 tu kutoka baharini na chenye hati original na hakina ubabaishaji wala longo longo. Kipo mbweni malindi siyo mbali sana na Ndege beach na panafikika kiurahisi sana na kuna mandhari nzuri kwa watu wastaarabu na executives. kinauzwa kuanzia milioni 80 na mwisho wake ni milioni 70 tu. Kwa atakayekihitaji basi wasiliana kwa namba zifuatazo: 0715 044592, 0655 067798 na 0766 378409. nasisitiza tena hakina longo longo na kina uthibitisho wote kwa atakayekihitaji. Kazi kwenu na kila la kheri!
 
Kutoka barabara ya Bagamoyo unaingilia wapi au eneo lipi boko au bunju au wapi ili kufika? na ni mita ngapi toka barabara kuu?
 
Fanya kama Unaelekea Bunju au Boko na Kisha Utaulizia Kituo cha Magengeni halafu Unanyoosha na hiyo barabara iliyochongwa hadi Njia panda ya Kwenda Ndege Beach Kisha Ukiwa tu hapo Piga kati Ya hizo Namba Tatu Nilizoziweka hapo na Wahusika Watakupokea na Kukupeleka Ukakione. Kuhusu Eneo Siyo bunju wala boko bali Eneo Linaitwa Mbweni Malindi na Siyo mbali na Ufukwe wa Bahari na Ni Takriban Mita 500 hivi Kutoka Barabara Kuu na Kwa Gari au Bajaji au Pikipiki ni Kama Dakika 7 au 8 hivi. Kwa Uhakika zaidi Piga zile Namba na Utajihakikishia Mwenyewe. Kila la Kheri.
 
Money Stunna acha Kutafuta Kiki Kwa Mgongo wa Watu na Sijawa Mpuuzi Hivyo hadi Nikaweka Humu Jamii Forums hilo Tangazo la Huo Uwanja Kwani Najua Humu Watu wengi ni Wastaarabu na Wanajiheshimu Pengine Kuliko hata Ulivyo Wewe. Na Kwa Uhakika Zaidi ili Uone Najiamini na Kwa Faida hata Ya Wengine ni Kwamba Kiwanja Kipo Eneo la Mbweni Malindi ambapo Ukiwa tu barabara Kubwa Ya Bagamoyo Unaingilia Sehemu iitwayo Magengeni Kisha Unaifuatisha hiyo barabara iliyochongwa hadi Njia panda ya Kwenda Ndege Beach Kisha Ukifika tu hapo Utaulizia ilipo Mitaa hii Miwili Ya Gemima na Suruke ambapo huo Uwanja upo kati kati Ya Mitaa Hiyo Miwili na Utazipiga hizo Namba Tatu Kisha Utapatiwa Utaratibu na Maelekezo Yote. Na Ningekuomba Wewe Money Stunna Ukishafika tu hapo na Kuthibitisha Kuwa Ni cha Kwako Uje humu humu Uthibitishe ila Najiamini na Ndiyo Maana Nimekitangaza na Kwa Kukuumbua tu ni Kwamba Kilipo Hicho Hakuna cha Upuuzi huo wa Shule Ya Komba bali Kuna Nyumba tu za Watu Wazito na za Kifahari. Kwa Mfano Nipo Jirani na Waziri Wako Aliyetusababishia Mgomo Mizani Ya Malori, Mabasi Ya Mikoani na Daladala na Pia Sipo mbali na Nyumba Ya Kamanda Wako Mkuu wa Mandata wa Jiji Letu hili. Bado tu Unataka Clarifications Zaidi? Uwanja Utakuwa Nao MBWIGA WEWE!
 
sasa kwanini mnauziana viwanja huku kwanini msiende jukwaa husika? ndio maana chenga nyingi!!
 
mwambie ahamishe jukwaa la matangazo humu watakuzingua leo mada za siasa ni chache
 
Watanzingua au Tutazinguana? Ndiyo Maana Pakaitwa Sehemu Ya Mchanganyiko na Kama uko Makini Hebu Zichunguze threads zote Zilizopo hapa Kisha Utaniambia Zote Zilipashwa Ziwe Hapa! Narudia tena Nacheza na Fursa na hivi Naandika Kuna Watu Kama 6 Wameshakwenda hiyo Sehemu ila Wengi Wanaishia Kama Mimi Milioni 65 na Bwana Mkubwa Kakomaa ile ile Milioni 70 na Offcourse Jamaa ana Haki Ya Kuringa na Kupauza Kwa Bei hiyo Kwani Eneo ni Zuri Sana. Sijui Nitapata Wapi hiyo Milioni 5 tu iliyobaki ili Nikapanunue na Kisha Niombe Mkopo Mkubwa Benki na Nijenge Either Appartments za Ofisi Or Hostels au hata ikibidi Unajenga Dispensary au Hospital nzuri na Vyote hivyo Vitalipa Kwani Sasa Bandari nyingine Kubwa Unajengwa Bagamoyo hivyo ndani Ya Mwaka Mmoja au Miwili Ijayo Kuna Mavuno Makubwa Kwa Wakazi wa Maeneo hayo.
 
Nimejaribu kufuatilia historia ya ukuaji wa miji duniani na uzoefu unaonyesha kuwa mingi baada ya kukua kwa kipindi, wakazi wake walianza kupungua (diminishing return). Ndio maana hata miji mingi nchi zilizoenelea haikui zaidi ya ilivyo sasa bali kuboreshwa.
Hoja yangu ni kuwa, ukiangalia eneo la mraba ambalo Dar es Salaam imeshatambaa (occupy) V/s idadi ya wakazi kama million saba wanaoishi hapo, kuna uwezekano wa watu kuendelea kununua viwanja au itakuja hoja ya kuboresha maeneo yaliyopo tayari kwa kwenda juu (vertically) kama ishara ya maendeleo - idea kama ya Manzese? Tusisahau wale walionunua mashamba makubwa na matokeo yake hayaendelezwi mpaka leo! Nawaza tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom