kwenye swimming pool wasijeambukizana magonjwa!
Sijui lakini
Ila kuwaweka watoto karibu na watu wazima waoakunywa bia sio njema sana
Michezo yao ingekuwa mbali sana na watu wazima sehem wanakopata kinywaji
Ni mtazamo tuu
si tetesi mmiliki ni SHE-GONGOPanaitwa Dar Live. Kuna tetesi kuwa mmilki ni jamaa mmoja mmilki wa magazeti pendwa.
ahahahahah nimecheka sana....JF Na style za kuyaandika majina ya watu.Ujumbe umefika.si tetesi mmiliki ni SHE-GONGO
huyu shegongo si mlokolle sasa ulokole na serengeti wapi na wapi?
huyu shegongo si mlokolle sasa ulokole na serengeti wapi na wapi?
ina maana kabla ya kuingia kwenye swimming pool hakuna sehemu ya kuoga kwanza? ma bwana afya wamelala?kwenye swimming pool wasijeambukizana magonjwa!