Kiwanja kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by chilamjanye, Nov 7, 2010.

 1. c

  chilamjanye Senior Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninauza kiwanja madale kwa karibu na kwa kawawa kimezungushiwa michongoma ukubwa ni robo heka na kinafikika kiko tambarare bei ni milioni 5.5 na hakuna dalali mimi ndo mmiliki nauza ili nipate ada ya shule napiga masters so mwenye kunisaidia anakaribishwa kununua nitawapa priority watu watatu wa mwanzo hakijapimwa kuna na maelewano pia namba yangu ni 0715696920/0787585860.
  Tahadhari: Niliwahi kukitangaza watu wakajitokeza tukapanga twende wakione sikuona mtu hata mmoja, kwa hiyo kama unajoke usinitafute nataka mteja mwenye dhamira
   
 2. Tores

  Tores JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 425
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  niko serious..nipe bei ya kuuza.
   
 3. c

  chilamjanye Senior Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tores bei nimeandika kabisa hapa 5.5 nimeshapigiwa na watu kama wawili kwa kweli atakeyewahi ndo nitamuuzia ili nipate ada
   
 4. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nipe Kwa mil 5.00 nipo serious
   
 5. h

  hamisio New Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :bowl:
   
Loading...