Kiwanja kinauzwa

chilamjanye

Senior Member
Oct 5, 2007
110
3
[B]Kiwanja Kipo Madale Karibu na Kwa Kawawa kinafikika kwa barabara na kimezungushiwa michongoma bei yake ni milion 6 kuna maelewano na Hakuna Dalali.
Piga Simu 0715696920/0787585860/0786670121 hata ukituma meseji inatosha
Karibuni[/B]
 
ok mjumbe
je hicho kiwanja kimepimwa?na kina documents zake zote?
pili je ni ukubwa gani?mita wise?au square mita ngapi?
na kipo umbali gani toka barabara kuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom