Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
466
Reaction score
1,048
-Kiwanja kipo vianzi kwamtopa (vikindu) pwani
kinauzwa 5M .

-kinaukubwa wa mita 12x21 kinamsingi wa vyumba viwili kimojawapo ni master , jiko , sebule, choo chandani

Mteja serious njoo inbox
 
Huko mjini viwanja vyenu vidogo sana aisee
Asavali tuendelee kubaki huku kijijini Isanga wana na jirani zetu Bintimanyanga unapata heka 2 kwa 300K...🤗
Na bado chenchi ya beer za kunywa miezi minne inabaki kwa hiyo 5M
 
ok sawa
 
Bro 5m unapata bonge la uwanja kama shamba Tena eneo zuri tu. Mjini wana tabu sana
Asavali tuendelee kubaki huku kijijini Isanga wana na jirani zetu Bintimanyanga unapata heka 2 kwa 300K...🤗
Na bado chenchi ya beer za kunywa miezi minne inabaki kwa hiyo 5M
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom