Kiwanja kinauzwa visiga pembeni ya barabara y a morogoro

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Kiwanja hiki nina ukubwa wa heka 2, kipo pembeni ya barabara ya morogoro kinafaa kwa matumizi ya kuengesha magari au kujenga kituo cha mafuta au kwa matumizi yote 2. kuegesha magari na kujenga kituo bei ni 350m.

kwa anayetaka tuwasiline 0657 14 5555, au 0755 099 291
 
Back
Top Bottom