Kiwanja kinauzwa uyole -MBEYA

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Kiwanja hiki kinaukubwa wa robo heka, kipo itezi uyole. umeme, maji na nyumba ya kuanzia ipo! kwa wanao hitaji maelezo zaidi wani PM.
 
tupia bei mkuu! Mbn kila cku huwa tunaimba hili suala la watu kuweka bei? Huku ni kama gulio na pia kupunguza usumbufu kwa pande zote.

starehe yake nikuona PM huyo,kunasiri gani hapo hadi ashindwe kutoa maelezo ya bei?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom