dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #21
Oky sawa mkuu ila sisi tunanunua na kuuziana chini ya uongozi serikali ya mtaa kama tu aridhi bado haijapimwa na kuwa na hati
Serikali ya Mtaa hawana mamlaka yeyote kisheria kutambua au kusimamia Ardhi Mkuu...Ni sawa na mm nikikitambua basi haina mana yeyote kisheria .