Hapana kaka, eka 2Labda kwa hekari 1 inawezekana ila siyo zote 2
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kiwanja ni hekari 2 na robo bei ni maelewano,Kiko karibu kabisa na oysterbay au mahakamani ni flat kizuri kwa ujenzi wa hostels za wanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Pm kwa maelezo zaidi
Sent from my iPhone using JamiiForums
KIWANJA chenyewe hiki wakuu


View attachment 142761 KIWANJA chenyewe hiki wakuu
View attachment 142762
View attachment 142763
View attachment 142764
kiko karibu kabisa na umeme na barabara ziko mahali Sawa kabisa majirani zangu ni Dr.Kabelele na Dr.kinemo Mzumbe university
Sent from my iPhone using JamiiForums