Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwasonga

Kiwanja au chuo cha kilimo kipo njia ya kwemda Tundwi songani hilo mbutu hata mm sijui ilipo
Mkuu, Ukifika njia panda ya kwenda mbutu na kimbiji, kuna umbali gani na kiwanja kilopo??
 
Camera zenu madalali huwa haziwezi piga picha viwanja hadi watu waulizie?
 
Ukichukua eneo lako na eneo la mwenye pagala tutapata ukubwa gani? Jumla ya bei kwa maeneo yote ni shingapi?
 
Mimi sio dalali mkuu izo picha ni reserve ya photo zangu nilizopiga kipindi nanunua
 
Ukichukua eneo lako na eneo la mwenye pagala tutapata ukubwa gani? Jumla ya bei kwa maeneo yote ni shingapi?
Hapo bei zitakuwa tofauti mkuu huyo mwenye pagala alitoa tu taarifa kuwa tukipata anaefika bei tumstue then nitamuuliza anahitaji bei gani

Mimi nitakukutanisha na mwenye pagala kama upo serious muelewane bila mtu wa kati
 
Kuhusu nyaraka Sina hati miliki ila Nina karatasi ya serikali za mitaa iliyosainiwa na mwenyekiti na wajumbe wawili na mtendaji.
. Rekebesha hapo mkuu, baada ya hapo tujulishane... 🤝🤝.

. Mtendaji, mwenyekiti na wajumbe hawana nguvu sana kwenye usimamizi wa viwanja, so kudhulumiwa ni dakika sifuri.
 
Sawa mkuu ila pesa ya kumalizia ndio sina hapo nauza nikamilishe boma langu linaloendelea kuozeana site
 
Hapo bei zitakuwa tofauti mkuu huyo mwenye pagala alitoa tu taarifa kuwa tukipata anaefika bei tumstue then nitamuuliza anahitaji bei gani

Mimi nitakukutanisha na mwenye pagala kama upo serious muelewane bila mtu wa kati
Sawa muulize bei pia na Jumla ya ukubwa wa eneo
 
Bado sijapata mteja wadau karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…