Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 11,301
- 25,780
Kutoka mwasongwa kwemda kimbiji nauli elfu 5
AMwasonga ndio huko Kimbiji?
AMwasonga ndio huko Kimbiji?
Mkuu, Ukifika njia panda ya kwenda mbutu na kimbiji, kuna umbali gani na kiwanja kilopo??
Tuma picha dmKama una uhitaji karibu tuzungumze mkuu huenda tukaelewana
. Ok Sawa nimesha papata mkuu.. 🤝,Kiwanja au chuo cha kilimo kipo njia ya kwemda Tundwi songani hilo mbutu hata mm sijui ilipo
Nilikuwa sijakiweka sokoni bado nitafutie mteja mkuu
Hapo bei zitakuwa tofauti mkuu huyo mwenye pagala alitoa tu taarifa kuwa tukipata anaefika bei tumstue then nitamuuliza anahitaji bei ganiUkichukua eneo lako na eneo la mwenye pagala tutapata ukubwa gani? Jumla ya bei kwa maeneo yote ni shingapi?
. Rekebesha hapo mkuu, baada ya hapo tujulishane... 🤝🤝.Kuhusu nyaraka Sina hati miliki ila Nina karatasi ya serikali za mitaa iliyosainiwa na mwenyekiti na wajumbe wawili na mtendaji.
Sawa mkuu ila pesa ya kumalizia ndio sina hapo nauza nikamilishe boma langu linaloendelea kuozeana site. Rekebesha hapo mkuu, baada ya hapo tujulishane... 🤝🤝.
. Mtendaji, mwenyekiti na wajumbe hawana nguvu sana kwenye usimamizi wa viwanja, so kudhulumiwa ni dakika sifuri.
Sawa muulize bei pia na Jumla ya ukubwa wa eneoHapo bei zitakuwa tofauti mkuu huyo mwenye pagala alitoa tu taarifa kuwa tukipata anaefika bei tumstue then nitamuuliza anahitaji bei gani
Mimi nitakukutanisha na mwenye pagala kama upo serious muelewane bila mtu wa kati
Pagale linauzwaje?Kama unayo pesa hapo jirani kuna pagala linauzwa unachanganya na chakwangu anaeuza ndio alioniuziaga mimi alikuwa na eneo kubwa kaligawa