Kina nyaraka gani, toa maelezo kidogo kunafikikaje? huduma za kijamii zipo? Unaelezea utadhani kila mtu anaijua mwasongwe hiyo!Chakwangu mkuu
Kiwanja kipo karibu na barabara kuuKina nyaraka gani, toa maelezo kidogo kunafikikaje? huduma za kijamii zipo? Unaelezea utadhani kila mtu anaijua mwasongwe hiyo!
Mkuu, Ukifika njia panda ya kwenda mbutu na kimbiji, kuna umbali gani na kiwanja kilopo??Kimbiji hufiki mwasonga ipo karibu na dar es salaam Zoo
Kwa hiyo hatuna uwezo amaMteja kwa jamii forum huwez kutoboa
Kalaga Baho Nongwa mkuu nisaidie kujibu hapa Mimi mbutu sijawahi fikaMkuu, Ukifika njia panda ya kwenda mbutu na kimbiji, kuna umbali gani na kiwanja kilopo??
Hapana kama mtu ana nia na uhitaji mbona biashara zinafanyika sana tu humuHuku watu ni invisible
Kiwanja ndio hiyo sehemu iliyolimwa mpaka kwenye msingiKwa msaada wa Google map mbutu to Mwasonga
Kuanzia 600 sqmKingekuwa cha ukubwa gani