Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwasonga

Kina nyaraka gani, toa maelezo kidogo kunafikikaje? huduma za kijamii zipo? Unaelezea utadhani kila mtu anaijua mwasongwe hiyo!
Kiwanja kipo karibu na barabara kuu

Kuhusu nyaraka Sina hati miliki ila Nina karatasi ya serikali za mitaa iliyosainiwa na mwenyekiti na wajumbe wawili na mtendaji

Umeme ni kama nguzo moja kutoka chuo cha kilimo au mbili kulingana na taratibu za uwekaji wa nguzo
 

Attachments

  • IMG_20231111_103408_141.jpg
    966.1 KB · Views: 13
  • IMG_20231111_103636_791.jpg
    611.2 KB · Views: 18
Mkuu, Ukifika njia panda ya kwenda mbutu na kimbiji, kuna umbali gani na kiwanja kilopo??
Kwa msaada wa Google map mbutu to Mwasonga
 

Attachments

  • Screenshot_20250509-122741.png
    173.7 KB · Views: 19
Kuanzia 600 sqm
Kama unayo pesa hapo jirani kuna pagala linauzwa unachanganya na chakwangu anaeuza ndio alioniuziaga mimi alikuwa na eneo kubwa kaligawa
 

Attachments

  • IMG_20231111_103807_734.jpg
    775.8 KB · Views: 16
Huu ndio muda wa kununua viwanja ili kuangalia mafuriko na wetlands karibuni wadau kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…