Dalali ukifanikisha hizo dili usiisahau JF
Wee rafiki, nitafutie cha bei rahisi kama 10M lakini kiwe kikubwa maeneo ya Moshono au jirani na hapo.
Teh..teh..teh..
Royals si-ungenambia mapema rafiki yangu.?
Sasa njoo nikupeleke maeneo ya mbele ya pale ujipatie nusu hekari kwa hiyo bei.
Au kipo kingine hapo mitaa ya ilipo shule ya st.jude Ujipatie 25/18M
Niko serious rafiki,
Niambie ili nije last month.
Niko serious rafiki,
Niambie ili nije last month.
HIV VINAPATIKANA KWETU WEWE
WASILIANA NASI TU UKIWA JIJINI ARUSHA.
1.Nyumba(kuuza/kununua/kupanga)
2.viwanja(kuuza au kununua)
3.Uchimbaji wa Visima.
"KARIBUNI WOTE"
Mdau Makin upo vizuri.Endelea na moyo huo.
Kweli uko serious, uje last month? Next month utachelewa ama?
Mdau vip niuzie hicho changu cha hapo cr bas ntakulinda
Shamba linauzwa bagamoyo karibu na mtambo wa ruvu chini mawasiliano 0769733959