kiwanja kinauzwa mivumoni-16mil@nusu hekta

kiwanja kinauzwa mivumoni-16mil@nusu hekta

Umbly

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
118
Reaction score
2
kiwanja kipo kabla ya kufika mivumoni, kata ya goba B. kinauzwa nusu hekali kwa sh.mil16,robo hekta kwa sh.mil8.
contact me on 0656063933 or email mwinshehe.adam@yahoo.com
 
mkuu weka info za kutosha,kimepimwa?barabara,umeme umefika?hiyo nusu hekali ni urefu wa ngapi na upana ngap?wengine hawajui vipimo vya hekali,wanajua miguu!
 
barabara,umeme vipo,nusu hekta sawa na miguu 35. Bado hakijapimwa
 
Waungwana mivumoni imegawanyika upande ulipimwa robo eka ni 20million na kuendelea. Upande mwingine ndio balaa la kuuziwa viwanja hewa linaendelea.
 
Back
Top Bottom