Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbweni-Dar

bizzle for shizzle

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
1,010
736
Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat

Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat

Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina hati

Kipo kingine mbweni mpiji block 13 sqm 1090 kina hat bei 50 milion

Kipo kingine
mbweni jkt block 5 sqm 750 kina hati bei 50milion

Kipo kingine mbweni jkt block 5 sqm 1200. Be I milion 100 kinahati

Kipo kingine mbweni jkt block 5 sqm 1030 bei 100 milion

Kipo kingine mbweni malindi block b sqm 750 bei 50 milion

Kipo kingine mbweni Malindi kina anglia Barbara yq rami ya mbweni sqm 1488. Kina hati bei 1100 milion. For more details check me out thrue this no 0769070247. Or 0628086697.or 0712464777 Karibuni mbweni
 
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1500. Pia kina servant quarter ya chumba kimoja kiwanja kimekaa mahali pazuri sana hapakai maji. Kina hati ya serikali. Clean title deed. Price 70milion . Contact me thrue this no +255712464777
+255769070247
+255628086697 call any time.
20171107_173439.jpg
20171107_173535.jpg
20171107_173512.jpg
 
Ngoja dr luis aje
ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha............!!!!! humu jf kuna raha sana eti ngoja Dr.Luis aje duh...leo nimecheka kutoka moyoni mpaka machozi. Kwa yanayonikabili sikutegemea kama mwaka huu ungemalizika ningepata fursa ya kucheka kwa dhati namna hii.....duh....na hii ni kwasababu nilikuwa serious namfuatilia sana huyo mshinda mnada wa nyumba za lugumi, Dr.Luis tangu jana...na nilipata taarifa zake alikuwa hana mchezo kwenye mnada hacheki wala haombi discount....jf ni kila kitu asante Kiongozi Frank lion..
 
Yule mzee kaniongezea siku za kuishi aisee
 
Tshs 70m kiwanja tu tena Mbweni ambapo logistically usafiri ni tete kwenda mjini kama umeajiriwa jiandae kwa lita kadhaa za mafuta kama una gari. Kama huna gari basi tena. Ila ni vema useme Mbweni block ipi kwa kuwa nayo ina matter sana. Ukweli 70m unajenga kajumba fulani kazuri. Wale wa magorofa changamkieni tenda hii. Ila nimeambiwa kabla hali ya pesa haijawa ngumu kiwanja cha ukubwa huu kilikuwa hadi 100m kinauzwa na wananunual Leo hii tangazo linapita hapa kila mtu anafungua new post tu kwa kuwa hali tete kiukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom