haha haha noma sana nmeuziwa laki tano huko hukoUsishangae laki3 mkuu au hiyo milioni8 unaweza pata kiwanja hata elfu ishirini ila unajiuliza wapi eneo hilo??
MBONA UMEGUNA MKUU,,,PANA FUKA MOSHI NINI HAPO AU BEI IMEKUA NDOGO SANAAA...WAKAZI WA HUKO NAOMBA MTUAMBIE TUSIJEUNGUA MOTO WA GESI,,70mx57m interesting....
Hakina mgogoro mkuu? Ukitaka kukiona siku gani unapatikana?