Kiwanja kinauzwa kwa bei rahisi sana

Mkalibari

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
659
396
HABARI WANA JF!
Kiwanja kipo kigangomboni-mikwambe kama unaelekea kwa mh.mizengo pinda
kikubwa na tambarale (miguu 23 kwa 34)
karibu na barabara(mwendo wa dk3 kutoka rami)
umeme jirani kabisa,maji si shida
bei Tshs7.5 milion
kwa ambae yuko tayari anicheki kupitia 0712279177 au 0758009876 au aniPM
DALALI HATAKIWI wahi sasa kabla hakijachukuliwa.
 
Vipimo vya miguu vinazingua.
Kakipime tena kwa kutumia vipimo vya Mita then urudi tena.
 
Ni rahisi sana ukilinganisha na maeneo yenyewe pia na ukubwa ake plus market price yake......
 
HABARI WANA JF!
Kiwanja kipo kigangomboni-mikwambe kama unaelekea kwa mh.mizengo pinda
kikubwa na tambarale (miguu 23 kwa 34)
karibu na barabara(mwendo wa dk3 kutoka rami)
umeme jirani kabisa,maji si shida
bei Tshs7.5 milion
kwa ambae yuko tayari anicheki kupitia 0712279177 au 0758009876 au aniPM
DALALI HATAKIWI wahi sasa kabla hakijachukuliwa.

Kwa jinsi ulivyo amplify hiyo bei na uhalisia niliouona hapa nachelea kunena kuwa hicho kiwanja ukubwa wake na hiyo bei na hiyo adjective na adverb uliyoipamba nayo si kweli. hakuna uhalisia.
Please rewind
 
tenga muda.namba hiyo hapo juu nimeweka nitafute nikupeleke alafu ukirudi toa feedback hapa hapa jamvini.
 
kigamboni hakufai kwa viwanja kulishachukuliwa na serikali

HABARI WANA JF!
Kiwanja kipo kigangomboni-mikwambe kama unaelekea kwa mh.mizengo pinda
kikubwa na tambarale (miguu 23 kwa 34)
karibu na barabara(mwendo wa dk3 kutoka rami)
umeme jirani kabisa,maji si shida
bei Tshs7.5 milion
kwa ambae yuko tayari anicheki kupitia 0712279177 au 0758009876 au aniPM
DALALI HATAKIWI wahi sasa kabla hakijachukuliwa.
 
Mkuu ulizia vizuri ufahamishwe kwani si kigamboni yote iliyochukuliwa ni baadhi ya maeneo na ktk maeneo hayo mikwambe haikuchukuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom