kiwanja kinauzwa kinyerezi

kiwanja kinauzwa kinyerezi

fossy

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Kiwanja kinauzwa kinyerezi kipo eneo zuri na barabara ya gar ipo .kinaukubwa wa mita 20 kwa 24.ni pm kwa maelezo zaidi
 
Kiwanja kinauzwa kinyerezi
kipo eneo zuri na barabara ya gar ipo .kinaukubwa wa mita 20 kwa 24.ni
pm kwa maelezo zaidi

Taja bei kaka au ni pm maana nashda hyo!
 
Kiwanja kinauzwa kinyerezi kipo eneo zuri na barabara ya gar ipo .kinaukubwa wa mita 20 kwa 24.ni pm kwa maelezo zaidi
Niko tayari kujua bei yake kama vp nijikamue
 
Sio cha magumashi kimepimwa na kina uhakika.kabsa na ikibid before hujalipia ngazi zote za kisheria zitahusika
 
Segadansi kaka au Segerea.

Mkuu,
Unajua mfano Alimaua ipo Kijitonyama. Sasa mtu anakurupuka na kuanza kusema anauza kiwanja kwa Alimaua akijua kila mtu anaijua ilipo.

Au mtu aseme anauza kiwanja Kwa Remmy bila kusema kua kipo Sinza .

Otherwise hatuonani Sheikh? Unakuja Dar na kuondoka Kimya kimya mkuu?
 
Kiwanja kinauzwa kinyerezi kipo eneo zuri na barabara ya gar ipo .kinaukubwa wa mita 20 kwa 24.ni pm kwa maelezo zaidi
nichekie size 30 by 40 au 35 by 35 nikupe 12 M tshs,urgently
0769 767233
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom