uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,451
Kumejengeka sana na Kuna shule apo kama Mita 150 tuMbona ni shambani sana mkuu
Natania tu mkuu, kunaonekana kupo vizuri ningekuwa na Maokoto ningekuja kudaka eneoKumejengeka sana na Kuna shule apo kama Mita 150 tu
Sawq sawa mkuuNatania tu mkuu, kunaonekana kupo vizuri ningekuwa na Maokoto ningekuja kudaka eneo
Upande upi? Viziwaziwa?Kiwanja kina ukubwa squire meter 400.
Kipo kibaha kwa mfipa
Milioni tatu na nusu.
Km 2 kutoka morogoro road
Hapana ,upande wa simbaniUpande upi? Viziwaziwa?
Vipimo vya square meter vinanichanganya,Hapana ,upande wa simbani
Mita 20 kwa 20Vipimo vya square meter vinanichanganya,
Ndo miguu mingapi kwa mingapi?
KaribuNice
Ukitaka viwili unaweza unga ikawa 40 kwa 20Vipimo vya square meter vinanichanganya,
Ndo miguu mingapi kwa mingapi?
Unapita shule?Hapana ,upande wa simbani
Apo apo shule ya simbani nyuma yakeUnapita shule?
Shilingi ngapiMilioni tatu na nusu
Milioni tatu na nusuShilingi ngapi
Karibu mkuu
Sawa nimekupataKaribu mkuu