Kiwanja kinauzwa Goba (Saisai)

Kiwanja kinauzwa Goba (Saisai)

Utakuwa hukai Kule mkuu, hadi tumetangaziwa kwenye mkutano wa serikali ya mtaa
QUOTE="NAREI, post: 28446217, member: 420841"]sawa mkuu, kama mwenye eneo husika sijui halafu wew ndiye unafahamu zaidi basi inshaalah.[/QUOTE]
Utaku
 
Utakuwa hukai Kule mkuu, hadi tumetangaziwa kwenye mkutano wa serikali ya mtaa
QUOTE="NAREI, post: 28446217, member: 420841"]sawa mkuu, kama mwenye eneo husika sijui halafu wew ndiye unafahamu zaidi basi inshaalah.


hata majirani washindwe kuni inform kweli? na last weekend nilikua hapo
 
Watu wengi hawapo informed sana. Ila umefanya vyema kumjuza jamaa. Hivi maeneo yale kuna maji kweli?
 
Na kuna watu walishapigwa wengi sana walikua wanamiliki hayo maeneo ambayo sasa manispaa imeyatwaa.
 
Mkuu we nenda manispaa ukaulize then ulete hapa mrejesho, majirani watakuwa hawajui may be
shukrani kwa changamoto zako.
all in all kuhusu location kiwanja kilipo nadhani hapo tumepishana.
sehemu kiwanja kilipo pamejengenga sana na hakuna eneo la wazi (pori).

N. B
kauli ya kutapeliwa sidhani kama ni kauli ya kitashi/ukomavu.
process za kununua viwanja zinajulikana
utafanya survey manispaa/ardhi kulingana na eneo husika ili kuweza kujua kama kuna project yeyote ya serikali itayofanyika.
na mara tu unapojiridhisha eneo ni salama ndipo utafanya maamuzi.
 
mzee hilo eneo lipo ndani ya manispaa napasoma vizuri hapo.. kuna jamaa alipigwa juzi kati hapo hapa alikuja kitaa akitoa machozi ya damu... nakushauri nenda manispaaa...
kama ni kwenda wangeenda majirani waliozunguka eneo la kiwanja wenye majumba ya kifahari.
 
Mbona mnabishana sana wakati kuna google map jamani
Hebu tuwekee ramani watu wajiridhishe na ubishi uishe ama vipi
 
huna jipya mchumba tuu we,, unaambiwa ukweli unabisha kibwege bwege, wewe ni dalali kila mara tunakuona huku jukwaani ukinadi vitu...huyo jamaa aliyekupa umuuzie kakuingiza chaka nawe unakuja huku jukwaani kichwa kichwa,
mtoto wa kiume unakua na maneno kama unalala sebleni kwa shemeji yako,
wanaume hatunaga maneno ya kike.
najua umemaliza hasira zako rudi jioni kwa shemeji ukafungue geti mda wa kurudi umefika.
 
eneo lipo mbele ya sheli mpya ya ATN kama unakuja mbezi mwisho. ni kama km 2.5 kutoka njia nne hapo mpaka kwenye kiwanja.
wew unazungumzia kwenye round about ya kuja madale na tegeta A Katikati kwenye lile pori nadhan.


Maelezo yako yana mashaka sana, ATN haipo karibu na saisai hata kidogo. Halafu Tegeta A haiko mbele ya ATN....total misleading
 
lengo lako hapa ni kutapeli, hapa umegonga mwamba mzee, acha udalali wa kishamba wenzako hua wanahakiki kila kitu ndio wanaleta humu jukwaani mzee...

nadhan hata maana ya utapeli hujui.
naona kuwa dalali imekuuma sana mzee.
mtoto wa kiume unatokwa na povu kiasi hichi? hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom