Kiwanja kinauzwa Goba (Saisai)

Kiwanja kinauzwa Goba (Saisai)

nadhan hata maana ya utapeli hujui.
naona kuwa dalali imekuuma sana mzee.
mtoto wa kiume unatokwa na povu kiasi hichi? hatari sana
Mkuu katika tangazo lako umetoa sifa nyingi za eneo, ila sifa ya maji una uhakika kweli yapo au ni lugha tu ya kuvutia wateja?
 
hata mwendawazimu hawezi kumwonea wivu dalali, hasa madalali wa bongo, almost(90%) wanategemea kutapeli wateja ili wapate mlo....miongoni mwao ni wewe...😡😡
naona mtoto wa kiume una tabia za kike,
anyway kiwanja kimeshapata mtu ameenda kufanya survey manispaa leo na kesho.
tuliza mshono usibwabwaje sana mtoto wa kiume.
 
Huyu nikiyemuuliza anakaa njia nne
Screenshot_20180928-163959.jpg
 
Asante Ndugu. Nusura jamaa atupige
Ndugu KIWANJA alikiuza mwenyewe na aliyenunua kajenga lotion 1 (ghorofa moja)
Na hati alifuatilia manispaa na kapata mwezi February.
Hivi hujui taratibu za manunuzi mpaka upigwe/uibiwe?
Unaweza kununua land/house property bila kufuata taratibu sahihi/husika za manunuzi?
Tuwe na fikra pevu.
Wengi HUMU ni walalahoi ila ndio wa kwanza kulalamika wnataka kuibiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom