Kiwanja kinauzwa - Chanika

Kiwanja kinauzwa - Chanika

Big Fat Lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
205
Reaction score
324
Nauza kiwanja.
Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte.
Ukubwa: mita 12 kwa mita 18.
Bei: 7.5 m
Mawasiliano: +255788745213
 
Attachments

  • IMG-20250614-WA0011.jpg
    IMG-20250614-WA0011.jpg
    285.6 KB · Views: 15
  • VID-20250614-WA0002(1).mp4
    5.5 MB
Kila la heri, ila kama ni mimi hiyo hela naenda kununua mashamba heka 7 Morogoro au Bagamoyo baada ya miaka 20 naanza kuuza moja baada ya nyingine nabaki na heka moja na hela ya kujenga dream house.
 
Kila la heri, ila kama ni mimi hiyo hela naenda kununua mashamba heka 7 Morogoro au Bagamoyo baada ya miaka 20 naanza kuuza moja baada ya nyingine nabaki na heka moja na hela ya kujenga dream house.
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom