Kiwanja kinauzwa Arusha bei ya kutupa

Kiwanja kinauzwa Arusha bei ya kutupa

mumburya

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
321
Reaction score
448
Kipo sasi km 1.5 kutoka lami barabara ya Arusha - Moshi. Hatua 18 kwa 23. Umeme na maji ni ya kumwaga. Ni karibu na kilipo Chuo cha Ualimu cha Arusha TTC.
Bei ni mil. 15 maongezi yapo.

Twanga simu hii: 0753524213

Asante.
 
Wewe wa wapi hatua 18 kwa 23 ndo zaidi ya robo heka??? kipimo cha wapi hicho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom