Kiwanja kinauza kipo karibu na sokoni

Kiwanja kinauza kipo karibu na sokoni

supermay8

New Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Kiwanja kinauzwa Mbande sokoni. Panafaa sana kwa biashara, biashara yoyote. Unaweza kujenga:
1) Fremu
2)Duka kubwa
3)Ghala
4) Mgahawa
5) Bar
6) Nyumba ya kulala wageni
7) Chekechea
8) Ukumbi wa sherehe
9) Kituo cha Afya
10) Kituo cha huduma ya dini. N.k

Bei milion 100, bei inapungua.

Simu namba: 0775365033/
0785003992
 
Back
Top Bottom