Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,408
Dom pamenoga
Aisee nitazuka kiwanja hikoDuh kwa mara ya kwanza kuja dodoma mwenyeji wangu alinipeleka hapo aiseee wademu wana mwaga viuno balaa kuvishika free umnunulie tu ka lite
Hahaha nimecheka... siendag sehemu yeyote kama naona bidhaa zitakuwa out of my price range....alikuwa na elfu hamsini tu mfukoni
Afghanistan