Kiwanja (40*20) kinauzwa milioni 6 Madale

Kiwanja (40*20) kinauzwa milioni 6 Madale

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
Kiwanja kinauzwa haraka Madale Msigani,Ni kizuri sana pia na vingine vipo kuanzia 20*20 hadi heka.

Piga 0762935154 au 0653218728.
 
weka picha kama imawezekana...

pia weka taarifa nyinginezo kama umbali n.k...
 
umeme,maji,huduma za jamii!!!mbona hueleweki dalali!!

umeme wapo mbioni kuweka maana survey ilishafanywa,maji pia hivyo hivyo ila kama unataka kuanza kujenga unaweza kuvutiwa mpaka kwako kwa sababu waliochimba maji ni wengi
 
Kiwanja kinauzwa haraka Madale Msigani,Ni kizuri sana pia na vingine vipo kuanzia 20*20 hadi heka.

Piga 0762935154 au 0653218728.

Ni umbali gani toka Wazo cement kwa sisi tusiopajua,au unaingilia wapi?
 
Kwanini kinauzwa haraka? hyo haraka ndio inanistuaga mimi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom