Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi?

Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi?

kwan ww shemeji unamuonaje? anazo au ndo unatak ufhm toka kwetu kama anakamua kma ssi vijana wa mikoani tufanyavo show zetu
 
92b738d1989532c23fd9cd4b1119c181.jpg

Kwa Hali hii hakuna kiwango sahihi.
 
Hakuna scale rasmi ya kupima nguvu za kiume. Kwa hiyo huwezi anza kurank ati huyu mjamaa ana nguvu chache, moderate au nyingi.
 
Standard ni kiwango kinachokuridhisha wewe/kukufikisha kunako kilele.
Ingawa hiyo standard inaweza ikaonekana si kitu kwa mwanamke mwingine na kwa mwingine ikaonekana
jamaa anakamia anataka kuua
 
Hakuna kipimo sahihi coz tuna afya tofauti pia ufikaji kilelen baina ya mtu na mtu ni tofauti
 
Nguvu za kiume ni concept ambayo siyo sahii na rasmi sana, imetoholewa kutoka kwenye matumizi horse power kama kipimo cha uwezo wa mashine au mtambo. Kazi ya mwanaume ni kumridhisha mwanamke( kumkojoza) na kujiridhisha yeye pia (kukojoa). Sasa basi utayafikiaje hayo malengo ya kuridhishana? unaweza ukatumia nguvu, akili au vyote kwa pamoja. Nguvu ninayo ikusudia hapo si ile ya kubeba mizigo la khasha, hii ni ule uwezo wa kiungo cha kiume kusimama na kutumika kusugua kiungo cha kike. Ieleweke pia, ikiwa mwanamke ana nguvu chache za kike (uwezo mdogo wa kustahimili misuguo ya kiume) basi atafika kileleni mapema. Lakini ikiwa mwanamke ana nguvu nyingi za kike (uwezo mkubwa wa kustahimili misuguo ya kiume) kwa maana nyingine she need more wood for the fire, basi itachukua muda kufika kileleni. Hivyo basi, upimaji wa nguvu za kiume hauwezi kufanikiwa kwasababu vigezo ni vingi na lengo la matumizi yake (kukojoza na kukojoa ) linafikiwa baada ya matumizi ya njia nyingine shirikishi (romance) na akili. Natumaini nimekufikisha kunako ndiko.
 
Mimi kwa mfano huwa namchezea mwenzangu kabla hatujaanza lolote anakuwa ashatupia mbili au tatu kisha mimi nikija kutupia wazungu mara tatu yeye anakuwa ameshatupia mara tano (5) tukimaliza hapo lazima halale zaidi ya masaa matatu, sikumoja aliniambia nikikukuta na mtu yoyote nitahakiksha nimemuua ama mimi nimekufa, nikamuuliza tatizo nini hakusema ila mimi najua ni burudani nayo mpa.
 
Biashara matangazo
 
Back
Top Bottom