Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
duuuh kazi kwelikweli
Hahahahhii nchi ni ngumu sana kuishi
Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi? Kwa maana kuwa wanaume inasemekana wana upungufu wa nguvu hizo na wengine inasemekana wanazo kiwango cha kupitiliza.
Ninawasilisha mjadala
naomba uni PM tafadhari nina mazungumzo secret na wwsasa mimi mwanamke na punyeto wapi na wapi?
We mtoto, maswali gani kwa mtoto wa kike? kweli anonymity inaleta uhuru wa mawazo!Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi? Kwa maana kuwa wanaume inasemekana wana upungufu wa nguvu hizo na wengine inasemekana wanazo kiwango cha kupitiliza.
Ninawasilisha mjadala
sasa mimi mwanamke na punyeto wapi na wapi?
Sio kweli bana ukimaliza kabla ya demu ni under performance, mademu wengine waliozoea wanaweza kaa hadi lisaa hawajakojoa, ki kawaida mwanaume atleast dakika 15 na kuendelea ndo anakuwa yupo fit ila below that ndio anakuwa ameperform chini ya kiwango ila pia kuna wengine la kwanza waarabu wanatoka mapema sana ila la pili na la tatu anaweza kwenda zaidi ya dkk 30 non stopKipimo Ni kuweza kumridhisha mwanamke yeyote kwa kuhakikisha anafika kileleni hata Mara 2 Sawa tu.
Ila kama mwanaume utamaliza kabla ya demu kufika kileleni, basi uko underperformance.
Huu niongo kabisa, bao la kwanza huwa kawaida linauma chini ya dk 10. Lapili ndio linaeza kua dk 20 na kuendelea.. Kusimama kwa dushee kuna tegemeana na hisia sio nguvu za kiume.Standard ni kuweza kupiga bao tatu kwa mechi.. atleast kwa dk20 kwa bao na mapumziko ya chini ya dk 15 kabla ya bao linalofuata...
Tofaut na hapo... kapige mazoez na uache punyeto
Wewe Utakua ni marioo bila shakaMimi kwa mfano huwa namchezea mwenzangu kabla hatujaanza lolote anakuwa ashatupia mbili au tatu kisha mimi nikija kutupia wazungu mara tatu yeye anakuwa ameshatupia mara tano (5) tukimaliza hapo lazima halale zaidi ya masaa matatu, sikumoja aliniambia nikikukuta na mtu yoyote nitahakiksha nimemuua ama mimi nimekufa, nikamuuliza tatizo nini hakusema ila mimi najua ni burudani nayo mpa.
Mkuu umepinga uzoefu wake au umeonesha uzoefu wako tu? I thought kila mtu anakilele chake cha hisiaHuu niongo kabisa, bao la kwanza huwa kawaida linauma chini ya dk 10. Lapili ndio linaeza kua dk 20 na kuendelea.. Kusimama kwa dushee kuna tegemeana na hisia sio nguvu za kiume.
Hii ni kwale wanayoiona mara 1 kwa mwezi au miezStandard ni kuweza kupiga bao tatu kwa mechi.. atleast kwa dk20 kwa bao na mapumziko ya chini ya dk 15 kabla ya bao linalofuata...
Tofaut na hapo... kapige mazoez na uache punyeto
Sasa mkuu...mbona bao 3 kwa dk 20 kwa kila goli bado una matatizo? Sasa yule ambaye anapiga goli moja dk 45 na anayepiga goli 3 dk 60 nani anaumwa?mkuu.....mimi nadhani kiwango kizuri cha nguvu ni kumridhisha mwanamke... Hakuna kingine....sababu kupiga goli nyingi kwa muda mchache haikufanyi uonekane una nguvu za kiume....bali unaonekana UNA PAPARA...NA NI MCHOVU.....ila kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kushuka ndy kinakufanya uonekane una nguvu za kiumeStandard ni kuweza kupiga bao tatu kwa mechi.. atleast kwa dk20 kwa bao na mapumziko ya chini ya dk 15 kabla ya bao linalofuata...
Tofaut na hapo... kapige mazoez na uache punyeto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hii nchi ni ngumu sana kuishi