Kiwango cha soka Tanzania chapanda

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa!

nafasi ya kisoka duniani:97

nafasi ya soka kwa afrika:23

nafasi ya kisoka east afrika:3

tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL
 
tunaomba sorce mzee...
nataka niangalie kama wahindi tumewazidi au bado wanatutesa hadi kwenye soka.
 
Back
Top Bottom