Kiwango cha Mshahara wa Askari Magereza

Kiwango cha Mshahara wa Askari Magereza

Calamity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
856
Reaction score
47
Wanandugu tujuzane mwenye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza maaana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwangovya utumishi vya TGS takehome yake huwa inapungua naombeni saada.
 
Wanandugu tujuzane menye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza maaana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwangovya utumishi vya TGS takehome yake huwa inapungua naombeni saada.

nenda kawe mpishi huwezi kazi ..taaruma ndo kitu gani?
 
Mpaka raha ndio police wetu hawa yani ukimwambia piga anapiga tu bila kufikili...

Fanya editing ya bandiko lako, pia unaleta mashaka juu ya umiliki wa cheti chako kama ni chako.

Salary Aitasaidia Nenda Kafanye Kazi Utapewa Barua Ya Kazi Utajua.
 
hv wewe unategemea kwenda magereza unadhan kuna hela,ndo tatzo lenu,kapige shule kwanza ,kaz baadae
 
Wanandugu tujuzane menye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza maaana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwangovya utumishi vya TGS takehome yake huwa inapungua naombeni saada.

kwa hayo machache yenye bold..kwa uandishi huo ndugu yangu wala usiulizie kiwango cha mshahara,...ww unatakiwa ulipwe kwa kuonewa huruma tu
 
Wanandugu tujuzane menye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza maaana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko sababu viwangovya utumishi vya TGS takehome yake huwa inapungua naombeni saada.

we nakushauri usiende huko coz utaua wafungwa bure,maana hata kuandika kwenyewe hujui.
 
Back
Top Bottom