Kiwanda kikubwa cha saruji Afrika Mashariki kufunguliwa Tanga

Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,903
2,580
Kama ilivyo wazi kwa kila mtanzania, kuwa serikali ya awamu ya tano ni ya viwanda.
Kampuni ya kichina imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji mkoani tanga maeneo ya Amboni.
Kiwanda hiki kikubwa Afrika mashariki na kati kitagharimu zaidi ya trilioni mbili za kitanzania .

Kiwanda hiki kinatarajiwa kutoa ajira zaidi ya millioni moja kwa watanzania.

Hongera Rais Magufuli, hongera awamu ya tano.

Endeleeni kuwaaibisha Chadema.

Source : ITV na Gazeti la habari leo.
 
Tupe chanzo cha habari yako tuone chadema imeingia vipi
 
Kama ilivyo wazi kwa kila mtanzania, kuwa serikali ya awamu ya tano ni ya viwanda.
Kampuni ya kichina imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji mkoani tanga maeneo ya Amboni.
Kiwanda hiki kikubwa Afrika mashariki na kati kitagharimu zaidi ya trilioni mbili za kitanzania .

Kiwanda hiki kinatarajiwa kutoa ajira zaidi ya millioni moja kwa watanzania.

Hongera Rais Magufuli, hongera awamu ya tano.

Endeleeni kuwaaibisha Chadema.
Nonsense, kuleta vumbi mitaani!
 
Neema au balaa hilo laja?! Maana huo msamaha wa kodi, mishahara midogo na uchafuzi wa mazingira kutokana na teknolojia hafifu wanayoitumia wachina katika uwekezaji wao kwenye nchi masikini unaondoa maana kabisa ya uwekezaji wenyewe!
 
1. Picha za ujenzi unaoendelea ziko wapi.

2. Kama viwanda vya kufyatulia matofari, uwaga waziri anaenda... Kwa nini kwa kiwanda kikubwa kama icho hatujasikia habari au kumuona waziri akienda.

3. Hivi unazijua ajira 1 mil au unazisikiaga tu ?
 
Nimeami sisi watanzania tutasubili sana kuelimika, juzi tuliambiwa Dangote ndiyo mwisho, mnafikili tumesahau?
 
Neema au balaa hilo laja?! Maana huo msamaha wa kodi, mishahara midogo na uchafuzi wa mazingira kutokana na teknolojia hafifu wanayoitumia wachina katika uwekezaji wao kwenye nchi masikini unaondoa maana kabisa ya uwekezaji wenyewe!
We n kiboko hatari sana yaan no comment at all
 
Kama ilivyo wazi kwa kila mtanzania, kuwa serikali ya awamu ya tano ni ya viwanda.
Kampuni ya kichina imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha saruji mkoani tanga maeneo ya Amboni.
Kiwanda hiki kikubwa Afrika mashariki na kati kitagharimu zaidi ya trilioni mbili za kitanzania .

Kiwanda hiki kinatarajiwa kutoa ajira zaidi ya millioni moja kwa watanzania.

Hongera Rais Magufuli, hongera awamu ya tano.

Endeleeni kuwaaibisha Chadema.

Source : ITV na Gazeti la habari leo.
nashangaa unatoa taarifa halafu unahusisha chadema! naona chadema kinawanyima usingizi, hata hivyo hizo taarifa kila siku wanatoa lakini hatuoni vitendo. unafikiri kuongoza nchi ni kama kuongoza ng'ombe kwenda malishoni?
 
Back
Top Bottom