Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,873
Kweli sasa hivi Africa Mashariki inakuwa kwa kasi. Kiwanda cha tiles kimezinduliwa wiki iliyopita na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Mkoa wa Pwani-Mkuranga). Kiwanda hiki kitarahisisha sana upatikanaji wa tiles za kisasa kusini mwa jangwa la sahara.
Kiwanda hiki ni cha kipekee hapa barani Africa. Vitu vyote vinaenda sambamba.
Kiwanda hiki kina urefu wa kilomita moja.
Kwa maelezo zaidi sikiliza hapa:-
NB: Wenzetu kutoka kenya naona wanaendelea na mijisifa yao huku tunasonga mbele. Najua kabisa hawana kitu kama hiki. Kinapatikana tanzania pekee. Na ikumbukwe kuna ahadi ya viwanda 200 toka china. Kwahiyo TZ itakuwa center ya viwanda barani Africa. Na huko Kenya itakuwa kijijini na mtakuwa mnalilia kujakutembelea TZ.