Kiwanda Kidogo

Developer

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
562
Reaction score
926
Naomba hapa wadau wenye utaalamu watupe shule kidogo. Kuhusu gharama za kuianzisha kiwanda kidogo.

Tuchukulie product kama sabuni za vipande au maji ya kunywa at very small scale unaweza anza na kiasi gani?

Na product nyingine wadau mnaweza kutupa idea. Zingatia mtaji mdogo lakini kiweze kuwa very scalable with time na markets.

Mtaji wa million 3 mpaka 10 wafanyakazi mmoja mpaka watano.

Hapo kwa mtaji na wafanyakazi nimetoa range tu ili watu wengi wanojitafuta waweze kufaidika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…