Saashisha Elinikyo
Member
- Jan 1, 2012
- 21
- 3
kiwanda hiki kipo kilimanjaro(w)Hai,chini ya PSRC ni miaka mingi hakizalishi na hakuna anayewajibika walau kutaka kujua nini? Kinaendelea, wakati kilikuwa mkombozi wa wanahai ambao wanaeneo dogo sana la kilimo hekta 46,506 sawa na asilimia 46 lingine ni misitu na miamba.hiki kiwanda ni kitagauchumi muhumu sana,wadau kama mpo mnausika tazameni hili linaathiri sana uchumu na pata la halmashauri ambalo lipo chini ukilinganisha na idadi ya watu 167097(sensa 2002) na pato la 68624368.74(2008/2009,huu ni mfano mdogo tu bado hujagusa ajiri.ni hatari